Leo jioni kutakuwa na mchezo mmoja wa nusu fainali ya kombe la Cecafa Chalenji 2017 inayofanyika uko nchini Kenya ambapo pia watashuka uwanjani kumenyana dhidi ya Burundi katika mchezo wa nusu fainali.
Lakini pia mara baada ya timu ya taifa ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Stars kushindwa kufuzu kuvuka ikiishia katika hatua ya makundi, ndugu zao Zanzibar Heroes watacheza katika mchezo wa nusu fainali nyengine itakapomenyana na mabingwa watetezi wa michuano hiyo Uganda hapo kesho.
Je ni nani kufika fainali?
Post a Comment
Post a Comment