Gwiji la soka Xavi Hernandez ambaye ni raia wa Hispania huenda akamfata gwiji mwenzake raia wa Italia, Andrea Pirlo.

Mapema wiki hii Andrea Pirlo alitangaza kustaafu soka msimu huu akiwa anaichezea klabu moja huko nchini Marekani, lakini pia gwiji Xavi huenda nae akastaafu soka akiwa anaichezea klabu ya Al Sadd huko nchini Qatar.

Xavi ambaye alitamba zaidi akiwa na klabu ya Barcelona amesema anatazamia kustaafu soka ambapo kwa sasa ana umri wa miaka 37.

Lakini wakati akiongelea hayo, Xavi pia amejaribu kumtetea mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi ambaye walishawai kucheza pamoja.

"watu wengi hawamwelewi (Messi) wanamchukulia kama ni mtu mkali na anayejitenga sana lakini ukweli ni kwamba yule ni mtu poa na mpole sana. Yupo kawaida na hapendi kujikweza" alisema Xavi ambaye pia anatamani akishastaafu soka basi awe kocha.

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.