Ligi kuu nyingi duniani zimesimama kupisha ratiba ya FIFA kupita ambapo kutafanyika michezo ya kimataifa. Sasa kama unataka kuamka mfuko ukiwa umenona wiki hii tabiri hivi:
1. Azerbaijan 0 vs 3 Ujerumani
Over 2.5
Double chance; X2
Ujerumani ataingia uwanjani akiwa na hali kubwa ya ushindi na huku akibebwa na historia baina ya timu hizo kuwai kukutana.
Over 2.5
Double chance; X2
Ujerumani ataingia uwanjani akiwa na hali kubwa ya ushindi na huku akibebwa na historia baina ya timu hizo kuwai kukutana.
>Mechi 5 zilizopita;
Ujerumani 4 vs 0 Azberbaijan
Ujerumani 6 vs 1 Azberbaijan
Azberbaijan 1 vs 3 Ujerumani
Azberbaijan 1 vs 4 Ujerumani
Ujerumani 5 vs 1 Azberbaijan
Ujerumani 4 vs 0 Azberbaijan
Ujerumani 6 vs 1 Azberbaijan
Azberbaijan 1 vs 3 Ujerumani
Azberbaijan 1 vs 4 Ujerumani
Ujerumani 5 vs 1 Azberbaijan
2. Poland 2 vs 2 Ureno
Over 2.5
Double chance; 12
Ni mechi ambayo inawakutanisha nyota wanaokipiga klabu kubwa duniani, ambapo wao ndio kama watanogesha mchezo huo. Cristiano Ronaldo akiwa hana msimu mzuri katika klabu yake ya Real Madrid na Roberto Lewandowski wa Bayern Munich.

>Mechi 5 zilizopita
Poland 0 vs 4 Ureno
Poland 2 vs 1 Ureno
Poland 2 vs 2 Ureno
Poland 0 vs 0 Ureno
Poland 1(4) vs 1 (5) Ureno
Poland 0 vs 4 Ureno
Poland 2 vs 1 Ureno
Poland 2 vs 2 Ureno
Poland 0 vs 0 Ureno
Poland 1(4) vs 1 (5) Ureno
3. Ufaransa 3 vs 1 Bulgaria
Over 3.5
Double chance; 1X
Mechi hii ina historia kubwa, licha ya Ufaransa kuwa na kiwangi kikubwa lakini mara nyingi wakikutana huwa kunamenyeka. Lakini katika miaka ya karibuni, Bulgaria haijawa na kiwango kizuri.

Ufaransa 0 vs 2 Bulgaria
Ufaransa 1 vs 2 Bulgaria
Ufaransa 3 vs 1 Bulgaria
Ufaransa 4 vs 1 Bulgaria
Ufaransa 1 vs 0 Bulgaria
Ufaransa 0 vs 2 Bulgaria
Ufaransa 1 vs 2 Bulgaria
Ufaransa 3 vs 1 Bulgaria
Ufaransa 4 vs 1 Bulgaria
Ufaransa 1 vs 0 Bulgaria
4. Croatia 1 vs 0 Ugiriki
Under 1.5
Double chance; 12
Ni wababe wote ingawa Croatia inabebwa sana na viwango vya nyota wake akiwemo Luca Modric anayeichea Real Madrid na Ivan Rakitic anayekiputa Barcelona. Utakuwa mchezo mgumu maana Ugiriki anabebwa sana na historia walipokutana katika michezo iliyopita.

Croatia 1 vs 0 Ugiriki
Croatia 2 vs 3 Ugiriki
Croatia 2 vs 2 Ugiriki
Croatia 0 vs 0 Ugiriki
Croatia 0 vs 2 Ugiriki
Croatia 1 vs 0 Ugiriki
Croatia 2 vs 3 Ugiriki
Croatia 2 vs 2 Ugiriki
Croatia 0 vs 0 Ugiriki
Croatia 0 vs 2 Ugiriki
5. Iran 1 vs 1 Panama
Under 1.5
Double chance; 12
Hawa majamaa hawajakutana sana ambapo katika rekodi inaonyesha Iran amekuwa yupo vizuri sana katika michezo iliyopita. Kihistoria inaonyesha timu hizi zimekutana mara moja na Iran kushinda 1-0 dhidi ya Panama.

Post a Comment
Post a Comment