Kutatimuka vumbi la hali ya juu jioni ya leo katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara katika kiwanja cha Azam Complex pale ambapo mabingwa watetezi wa ligi hiyo Yanga Africa itakapomenyana na klabu ya magereza ya mkoani Mbeya, Tanzania Prisons mida ya saa 10 jioni.

Huku mchezaji bora wa mwezi oktoba, Obrey Chirwa macho yote yakimtazama yeye mara baada ya kuwa na kiwango bora sana msimu huu akiwa na historia ya kufunga 'hat trick' katika mchezo uliopita na kuiongoza Yanga kushinda 5-0.

Michezo mingine ya VPL;
Singida utd vs Mbeya city
Mbao vs Mwadui
Kagera sugar vs Stand utd
Ruvu shooting vs Majimaji

Matokeo ya VPL jana;
Ndanda 1 vs 1 Njombe mji
(Lucian-Ndanda)
(Wigenge-Njombe mji)

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.