Klabu ya nchini Uingereza, Man utd mpaka sasa imeshacheza michezo sita ikiwa nyumbani Old Trafford ambapo katika michezo hiyo yote haijapoteza mchezo hata mmoja ikifunga magoli 19 na kuruhusu goli 1 tu kuingia katika nyavu zake ambapo inashika nafasi ya pili katika msimamo wa ligi kuu Uingereza ikiachwa alama nane na aliyepo kileleni ambaye ni Manchester city.
Kutokana na ugumu huo wa klabu hiyo haswa ikiwa nyumbani, kiungo wa klabu hiyo, Ander Herrera raia wa Hispania ametoa siri ya kipi kimeifanya klabu hiyo kuwa tishio katika uwanja wake wa nyumbani.
Alipoulizwa alijibu " kila tunapocheza nyumbani huwa tunapambana kwa ajili ya alama tatu, kwetu mchezo wa Old Trafford tunauchukulia kama ni mchezo wa fainali"
Man utd inashuka kiwanjani ambapo itamenyana na klabu ya Brighton & Hove katika uwanja huohuo wa Old Trafford mishale ya saa

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.