Unamkumbuka yule Ramires wa Chelsea? aliyetiimkia kwenye ligi kuu ya China mwaka 2016?
sasa jamaa anataka kutoka barani Asia ambapo mwenyewe ashamwambia wakala wake kwamba haoni tena kama anatakiwa kubaki barani hapo na anataka kurudi barani Ulaya.
Ramires ambaye alicheza Chelsea kwa mafanikio makubwa kabla ya kuamua kwenda nchini humo ambapo katika klabu ya Jiangsu Suning ambapo klabu hiyo inamilikiwa na tajiri yuleyule anayeimiliki klabu ya Inter Milan ambayo imekuwa ikimhitaji kwa muda mrefu.
Post a Comment
Post a Comment