Arsenal usiku wa jana waliweza kujihakikishia uwepo wao katika mtoano au 32 bora za Europa ligi baada ya sare ya bila kufungana na Crvena Zvezda huku kombe hilo likiwa ni moja ya tageti ya wenga msimu huu baada ya kushindwa kushiriki ligi ya mabingwa huku kombe la ligi likionekana kuwa mbali nao msimu huu.
Lakini huu sio wakati wa wenger kufurahi hata kidogo kuingia hatua ya mtoano ya michuano hiyo uku ili hali kuna uwezekano wa baadhi ya vigogo wa ulaya kama Monaco,Napoli,Dortmund,Atletico madrid kuungana na wenger Europa League msimu huu.Kazi ipo

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.