London derby imeisha kwa sare ya bao 1-1 baada ya harry kane ambaye alikuwa nje ya uwanja kwa wiki kazaa kutupia bao maridadi kabisa kwa penati ambalo liliinyamazisha arseanal baada ya spurs kujifunga hapo kipindi cha kwanza na kelvin wimmer.
MAMBO 5 YA MECHI HII
1.Arsenal bado wanahitaji mshambuliaji hatari zaidi ili kubeba ubingwa
2.Hary kane bado anaonekana fit
3.mfumo mpya wa 3-4-2-1 hauifai spurs
4.Sare bado inafanya spurs wawe kwenye mbio za ubingwa
5.Dembele ametisha
Post a Comment
Post a Comment