paul scholes ametaja kikosi cha watu 11 au first eleven ambacho anaamini ndicho kinachowafaa kwa sasa ivi.
Hakuishia hapo tu pia alisema kuwa kiungo na kapteni wa zamani wa ujerumani bastian shweinsteiger inabidi pewe nafasi kwa sababu yeye anaamini bado anao uwezo wa kucheza old trafford.
kikosi chake ni kama kifuatacho
De gea,
smalling,Baily,Luke shwa Anton valencia
Carick
Herrera pogba
Bastian
Rashford martial
Anaamini kwa kikosi hiki wataweza kushindania hata nafasi ya nne
Post a Comment
Post a Comment