Baada ya kusajiliwa kwa mkwanja mrefu akitokea dortmund ya ujerumani,winga kinda raia wa ufaransa OUSMANE DEMBELE hakuwa na bahati ya kuanza vyema akiwa na kikosi cha catalunya,Barcelona baada ya kupata majeraha makubwa kwenye kifundo ambayo yalimweka nje tangu mwezi septemba mwaka huu sasa arudi rasmi kwenye kikosi hicho teari kuvaa viatu vya Neymar aliyetimkia PSG kwa dau lililovunja rekodi ya dunia Paundi milioni 200.
Dembele amekuwa akifanya mazoezi magumu ili arudi mapema kwenye ubora wake huku watu wake wa karibu wakisema kuwa amekuwa akila chakula cha asubuhi na cha mchana hapo hapo kwenye uwanja wa mazoezi.
Post a Comment
Post a Comment