Beki wa kushoto wa Manchester united,Luke shawa inasemakana majira ya joto mwezi wa kwanza akarudi katika timu yake ya zamani SOUTHAMTON ambako ndipo alipotokea miaka miwili iliyopita na kuelekea old traford.

Kulingana na mwandishi wa gazeti la Mirror,James nursey, Bertrand anatakiwa na Pep guardiola ndani ya man city ili aende kuziba pendo la majeruhi wa muda mrefu na beki aliyevunja rekodi ya usajiri,Benjamin Mendy na Southampot wapo teari kumro bertrand mwezi wa kwanza ili akajiunge na man city.

Kuondoka kwa Betrand kunafungua milango kwa beki huyo wa man u (Luke shaw) kujiunga na Southampot hapo januari na kujaribu kuweka sawa soka lake.

Ikumbukwe Shaw alijiung na Man utd akiwa na umri wa miaka 18 akitoke southampton mwaka 2014mlakini tangu hapo amekuwa akisumbuliwa na majeruhi ya mara kwa mara ambayo yamepelekea kutokuwa katika mipango ya mourinho

Post a Comment

Johnny MaLcom x

Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating.
Powered by Blogger.