Kocha wa Manchester city, Pep Guardiola na nyota wa timu hiyo, Leroy Sane wameshinda tunzo za mwezi oktoba.
Guardiola amechaguliwa kuwa kocha bora wa mwezi oktoba ambapo ameshinda tunzo hiyo mara ya pili wakati Leroy Sane amechaguliwa kuwa mchezaji bora kwa mwezi oktoba.
Post a Comment
Post a Comment