Aliyekuwa nyota wa timu ya taifa ya Tanzania ya vijana chini ya miaka 17 Serengeti Boys, Yohana Oscar Mkomola amesajiliwa rasmi na klabu ya Yanga Africa ya nchini Tanzania.
Yohana Mkomola anayekumbukwa vyema kwa magoli mawili aliyoyafunga katika mchezo wa kuwania tiketi ya kugombani kufuzu kucheza katika michuano ya AFCON chini ya miaka 17 aliyoyafunga dhidi ya Congo amesaini mkataba wa miaka miwili kuichezea klabu hiyo akiwa ni zao safi la akademi ya Azam Fc na timu ya EMIMA na timu ya Jeshi la Twalipo.
Post a Comment
Post a Comment