Mshambuliaji tishio Lionel Messi amezua kizaazaa ndani ya klabu yake ya Barcelona ambapo mchezaji alifika akiwa na miaka 13.
Lionel Messi amezua kizaazaa mara baada ya kufanya mahojiano na chombo cha habari kimoja wapo na kuelezea anatamani siku moja kuja kurudi katika klabu yake ya utotoni ya Newell Old Boys ya nchini kwao Argentina.
"wakati nilipokuwa mtoto nilitamani kucheza Ligi kuu Hispania, lakini nilitamani pia kuendelea kucheza Newell" alisema Lionel Messi.
Messi anakaribia kumaliza mkataba wake ndani ya klabu hiyo na amekuwa akihusishwa na kutakiwa na kocha wake wa zamani Pep Guardiola ambaye kwa sasa anaifundisha Manchester city.

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.