Nyota mwengine raia wa Tanzania, Hamis Said Ndemla anatarajiwa kuondoka nchini kwenda kufanya majaribio barani Ulaya.
Said Ndemla ameondoka nchini jana kwenda kufanya majaribio nchini Sweden ambapo huko atashiriki kwenye majaribio kwa siku 14 katika klabu ya AFC Eskilstuna ambayo pia klabu hiyo ina mtanzania Thomas Ulimwengu ambaye amekuwa na majeruhi.
Post a Comment
Post a Comment