Nyota wa klabu ya Barcelona ambaye ni raia wa Argentina, Lionel Messi mchana wa leo amekabidhiwa tunzo yake ya mfungaji bora Ulaya msimu wa 2016-2017.

Messi ameshinda tunzo hiyo mara ya nne ambapo amepewa tunzo ya kiatu cha dhahabu kama mfungaji bora wa ligi kuu Hispania maarufu kama La Liga na katika ligi kuu za bara la Ulaya.

Messi amewai kushinda tunzo hiyo ya mfungaji bora wa Ulaya msimu wa 2009-2010 (magoli 34), 2011-2012 (magoli 50) na msimu wa 2012-2013 (magoli 46) na huku msimu uliopita akifanya hivyo mara baada ya kufunga magoli 37 katika michezo 34. Ambapo kwa hapo inamaanisha Messi anashinda tunzo hiyo mara ya nne.

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.