Klabu ya nchini Uingereza, Everton imeendelea kuwa na matokeo mabovu mara baada ya usiku wa leo kupokea kipigo kizito katika michuano ya Europa League au wengi wameizoea kuiita kama Uefa Ndogo.
Everton imepoteza mchezo wa leo dhidi ya klabu ya Atalanta ya nchini Italia ambapo Everton imekubali kichapo cha mabao 1-5, tena Everton ikiwa nyumbani.
Huu ni mwendelezo wa matokeo mabovu na hata kama ikipata matokeo mazuri basi sio kutokana na uwezo mkubwa wa klabu hiyo.
Everton imekuwa klabu ya kwanza kutoka Uingereza kushindwa kufuzu katika hatua hii ya makundi ya michuano ya Ulaya ikimaliza katika nafasi ya mwisho katika kundi lake.
Matokeo mengine;
FC Koln 1 vs 0 Arsenal
Astana 2 vs 3 Villareal
Lugano 1 vs 0 H Be'er Shev
Viktoria Plzen 2 vs 0 FCSB
Ostersunds FK 2 vs 0 Zorya
Athletic Club 3 vs 2 Hertha Berlin
OGC Nice 3 vs 1 ZW
Lokomotiv Moscow 2 vs 1 Copenhagen
BATE 0 vs 0 Red Star Belgrade
Konya 1 vs 1 Marseille
RB Salzburg 3 vs 0 Guimaraes
Lazio 1 vs 1 Vitesse
Zenit 2 vs 1 Vardar
Rosenberg 0 vs 1 Real Sociedad
Macabbi TA 0 vs 2 Slavia
Skenderbreu 3 vs 2 Dynamo Kyiv
Partizan 2 vs 1 Young Boys
AC Milan 5 vs 1 Austria
AEK Athens 2 vs 2 Rijeka
Braga 3 vs 1 Hoffenheim
Ludogorets 1 vs 2 Basaksehir
Lyon 4 vs 0 Apollon
Sheriff 1 vs 0 Tescom

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.