Klabu ya Arsenal, usiku wa leo ilikuwa kwenye majukumu katika michuano ya Europa League au maarufu kama Uefa Ndogo na kufanikiwa kuvuka katika kundi lake uku ikipokea kichapo.

Arsenal ilikuwa na kazi ngumu usiku wa leo ambapo ilishuka ugenini kumenyana na FC Koln kwa bao 1-0, goli likifungwa na Sehrou Guirassy.

Lakini kipigo hicho kwa kocha Arsene Wenger hakijamzuia kuendelea katika hatua ifuatayo ambapo ina alama 10, wakati timu ya pili na ya tatu zote zina alama 6 kwa maana hiyo hata zikishinda mchezo mmoja uliobaki haitomvuta shati Arsenal.

Baadhi ya matokeo mengine;
Nice 3-1 ZW
Rosenberg 0-1 Real Sociedad
Atletic Bilbao 3-2 Hertha Berlin
Lazio 1-1 Vittese

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.