Winga na mshambuliaji wa Manchester united, Anthony Martial ameshinda tunzo nyengine ndani ya klabu yake ya Man utd.
Martial ametangazwa kuwa mshindi wa tunzo ya goli bora la mwezi wa 10 ambalo alilifunga katika mchezo dhidi ya Tottenham akiingia akitokea benchi na kufunga goli hilo pekee la mchezo huo.
Post a Comment
Post a Comment