Kocha wa Tottenham Hotspur, Mauricio Pochettino amesema mshambuliaji wa klabu yake Harry Kane atakuwepo katika mchezo dhidi ya Arsenal.
Pochettino amethibitisha hilo mara baada ya nyota huyo kutolewa katika mchezo dhidi ya Crystal Palace katika wiki ya 11 ya Ligi kuu Uingereza.
Kocha huyo alipoulizwa kuhusu uwezekano wa kuwepo kwa kocha huyo, Pochettino alijibu siku ya tarehe 18 mwezi huu yaani wiki ijayo katika mchezo wa timu hiyo dhidi ya Arsenal nyota wake huyo ambaye ni mchezaji anayeongoza katika orodha ya wafungaji bora kwenye ligi kuu atakuwepo.
Post a Comment
Post a Comment