Marafiki mubashara, kiungo wa klabu ya Juventus, Blaise Matuidi amejibu ujumbe wa rafiki yake Julian Draxler wa PSG.
Matuidi ambaye alishawai kucheza PSG pamoja na Draxler jana walikutana katika mchezo wa kirafiki uliojumuisha timu zao za taifa, Matuidi akiichezea Ufaransa wakati Draxler akiwa Ujerumani, mchezo ulioisha kwa sare ya 2-2.
Post a Comment
Post a Comment