Baada ya ushindi dhidi ya Japan goli lililofungwa na Romelu Lukaku na kumfanya awe mfungaji bora wa muda wote kwa taifa lake la Ubelgiji, kumbe sio kweli. Lukaku hana magoli 31 inayodaiwa kumfanya kuwa mfungaji bora.

Ipo hivi, mwaka 2014 katika mchezo wa kirafiki ambao Ubelgiji alimfunga Luxemborg magoli 5-1 huku Lukaku akifunga matatu kwa sheria za FIFA ziliruhusu mchezo huo uwe na mabadiliko ya wachezaji mara sita tu, lakini Ubelgiji wakazidisha na kufanya mabadiliko mara saba na hivyo mchezo huo kufutwa na magoli yale matatu ya Lukaku kufutwa.

Kutokana na hilo inamaanisha Lukaku kwa goli lake la jana limemfanya kutimiza magoli 28 na sio 31 kumfanya kuwa mfungaji bora.

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.