Timu ya taifa ya Australia imefanikiwa kufuzu kucheza kombe la dunia mwakani huko nchini Urusi.
Australia imefanikiwa kufuzu mara baada ya kuifunga 3-1 timu ya Honduras, magoli yote ya Australia yakifungwa na Jedinak.
Kuelekea michuano hiyo ya kombe la dunia mwaka 2018, mchezaji wa timu ya taifa ya Australia, Tim Cahill ataenda kuweka rekodi kwa kushiriki michuano hiyo mara nne mfululizo yaani 2006, 2010, 2014 na 2018 huko nchini Urusi.
Hongereni Australia
Post a Comment
Post a Comment