Waziri wa michezo mstaafu, Juma Othman Kapuya amefika makao makuu ya mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania Bara, Yanga SC.
Juma Kapuya amefika katika makao ya timu hiyo na kuwapa pongezi kwa mafanikio waliyoyafikia mpaka sasa.
Una lipi la kuchangia katika hili?
Post a Comment
Post a Comment