Klabu ya Real Madrid imeifata Chelsea ili kufanya nayo biashara katika kipindi cha usajili cha dirisha dogo la majira ya baridi itakayokuwa mwezi januari.
Tajiri wa Real Madrid, Fiorentino Perez amepanga kumtumia winga wa klabu hiyo Gareth Bale katika mabadilishano na Chelsea ambapo Madrid wanamtaka Eden Hazard.
Inaelezwa kwamba Bale ameomba kurudi Uingereza akitaka kutafuta timu ya kuichezea ligi kuu kuliko kuendelea kupata majeraha.
Post a Comment
Post a Comment