Kuonyesha kwamba watu wana hamu na kombe la dunia litakalofanyika Urusi mwaka kesho mwezi juni, leo kupitia mtandao wa Instagram shirikisho la soka duniani FIFA limeutambulisha mpira utakaotumika katika michuano hiyo.
Telstar 18 ndio mpira utakaotumika katika michuano hiyo ambao umetengenezwa na Adidas.
Post a Comment
Post a Comment