Klabu ya Juventus imefanikiwa kutoa wachezaji ambao ni washindi wa tunzo za Glan Gala Calcio ambazo huwa zinatolewa kila mwaka katika ligi kuu nchini humo.
Gigi Buffon amechaguliwa kuwa ndiye mchezaji bora katika ligi hiyo akifanikiwa pia kuingia kwenye kikosi bora. Wakati Paul Dybala akishinda tunzo ya mchezaji chipukizi kwa mara ya pili, tunzo nyengine zikibebwa na nyota kama Alex Sandro, Pjanic, na Bonnucci ambaye kwa sasa anaichezea AC Milan akitokea Juventus.
Post a Comment
Post a Comment