Kutokana na kura zilizopigwa na wasomaji wa kurasa wetu ambapo mlipiga kura katika swali lililoulizwa kwamba je unadhani ni nani atamaliza kama mfungaji bora, kura zilizopigwa zimemchagua nyota kutoka Chelsea, Alvaro Morata kuwa yeye ndiye atakayemaliza kama mfungaji bora akipata kura 75% huku akifatiwa na Romelu Lukaku, nyota wa Manchester united ambaye yeye kapata kura 25%

Huku Harry Kane, Mohammed Salah, Kun Aguero na Alexzander Lacazette wote wakipata 0%.

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.