Chama cha soka barani Afrika, CAF kimetoa orodha ya nyota wanaowania tunzo ya mchezaji bora barani Afrika.
Orodha hiyo imejumuisha jumla ya wachezaji 11 ambapo na wale wanaowania tunzo ya mchezaji bora kutoka Afrika inayotolewa na BBC wapo kwenye orodha hiyo ya CAF, Victor Moses (Nigeria), Mohammed Salah (Misri), Pierre Aubameyang (Gabon), Naby Keita (Guinea) na Sadio Mane (Senegal).
Ambapo wengine walioingia katika orodha hiyo ya kugombania uchezaji bora ni pamoja na Yaccine Brahimi (Algeria), Betrand Traore (Burkina Faso), Karim El Ahmadi (Morocco), Keita Balde (Senegal), Vincent Aboubakar (Senegal) na Denis Onyango (Uganda).
Post a Comment
Post a Comment