Mshambuliaji na mshambuliaji wa klabu ya Chelsea, Eden Hazard huenda akatimkia zake kwenda La Liga katika klabu ya Real Madrid.
Hilo linaweza kutokea mara baada ya Eden Hazard kuulizwa kuhusu mpango wa kujiunga na klabu hiyo iliyo chini ya kocha gwiji, Zinedine Zidane.
"Ni ndoto zangu kufundishwa na kocha kama Zidane" alisema Hazard ambaye pia alikiri bado ana furaha kuwa klabuni Chelsea.
Kocha Zidane amekuwa akikaririwa sana kwamba anamtamani nyota huyo ambaye aliiongoza klabu yake ya Chelsea kuibamiza Man utd wiki iliyopita katika mchezo wa ligi kuu Uingereza.
Post a Comment
Post a Comment