Timu ya taifa ya Croatia imeibamiza kipigo kizito timu ya taifa ya Ugiriki kwa kipigo kizito cha mabao 4-1.
Alianza Luca Modrid, kiungo wa klabu ya Real Madrid kwa goli la penati kabla ya Sokratis, mlinzi wa klabu ya Borrusia Dortmund na matokeo kuwa 1-1.
Kilichofata ni mvua ya magoli iliyowakuta Ugiriki, alianza Kalinic akafata Ivan Perisic anayeichezea klabu ya Inter Milan kisha akamalizia Kramaric aliyefanya matokeo kuwa Croatia 4-1 Ugiriki.
Post a Comment
Post a Comment