Mchezaji mshambuliaji Obrey Chirwa wa klabu ya Yanga Africans inayoshiriki ligi kuu ya Tanzania Bara maarufu kama Vodacom Premier League (VPL) ameshinda tunzo ya mchezaji bora wa mwezi wa oktoba wa ligi hiyo akiwapiku nyota wengine katika ligi hiyo.
Swali ni je kweli Chirwa anastahili kuichukua tunzo hiyo na kuwapiku nyota kama Shiza Kichuya, Ibrahim Ajibu na Emmanuel Okwi???
Post a Comment
Post a Comment