Mshambuliaji wa klabu ya Manchester city, Kun Aguero hana tena mipango ya kuendelea kubaki klabuni hapo mara baada ya mkataba wake kuisha mwaka 2019.

Aguero ambaye ameweka rekodi klabuni hapo kwa kuwa mchezaji mwenye magoli mengi wa muda wote mara baada ya kufikisha magoli 179 katika mchezo wa ligi ya mabingwa ulaya maarufu kama Uefa Champions League.

Aguero alipohojiwa alisema anatamani siku moja arudi katika klabu yake ya zamani iliyomkuza katika soka, klabu ya Independente ambapo alilelewa klabuni hapo kabla ya kujiunga na Atletico Madrid iliyomuuza kwenda Manchester city.

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.