Mshiriki wa tunzo ya mchezaji bora kutokea Afrika zinazotolewa na BBC ambaye ni mchezaji wa klabu ya Borussia Dortmund, Pierre Emerick Aubameyang ametupwa nje kwenye kikosi kitakachoivaa Stuttgart katika mchezo wa ligi kuu.

Aubameyang ametupwa nje ya kikosi huku sababu ikielezwa utovu wa nidhamu ingawa haijaelezwa kosa hilo amelitenda kwa namna gani.

Aubameyang anaripotiwa kwa kesi kama hii mara ya pili sasa mara baada ya msimu uliopita mwezi novemba kufungiwa tena kutokana na kusafiri kwenda nchini Italia bila kufanya mawasiliano na klabu.

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.