Nyota wa Manchester city, Kun Aguero ametumia mtandao wa Twitter kuwataarifu wapenzi wa soka kwamba yupo tayari kurudi uwanjani mara baada ya kuzimia akiwa vyumba vya kubadilisha nguo katika mchezo wa timu yake ya taifa, Argentina ilipomenyana dhidi ya Nigeria. Mchezo ulioisha kwa Nigeria kushinda 4-2 huku Aguero akifunga goli la pili kabla ya kupoteza fahamu.

"vipimo vyema vimeshafanyika, na vinaonyesha naweza kuendelea, nipo sawa kwenye mchezo ujao. Twendeni Man city" ni ujumbe aliotuma mshambuliaji huyo ambaye ameweka rekodi ya kuwa mfungaji bora wa muda wote klabuni Man city.

Manchester city itamenyana na Leicester katika mchezo wa ligi kuu wiki hii.

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.