Leo katika dawati la wahenga tumeweza kumtupia macho mmoja wa watu mashuhuri sana kwenye soka na mchambuzi wa soka wa muda mrefu hapa Tanzania (Edo kumwembe).
Kufika huko tukakutana na habari za huzuni na za kusikitisha ambapo dada wa kwanza wa mwanamichezo huyu amefariki dunia hapo juzi.
Mungu ailaze pepa roho ya marehemu na kuitia nguvu familia ya Kumwembe.Amin/Amina
Post a Comment
Post a Comment