Mesut ozil mjerumani na fundi wa mpira anayekipiga kwa sasa katika klabu ya Arsenal mjini London amezidi kuwapa wakati mgumu arsenal baada ya kuwaambia rafiki zake wa karibu kuwa mwezi wa kwanza anahamia United bure.

Ozil aliwahi kuandika katika Autobiaography yake jinsi mourinho ambaye alikuwa kocha wake walipokuwa Real madrid alivyomsaidia kuwa mchezaji bora
"Real madrid sio kubwa saba kwako ila tu kwa sasa ndio chaguo sahihi,nakuahidi utakuwa Katika kikosi cha kwanza na utaonyesha ukimwengu uwezo wako wote," alisema mourinho
Arsenal wanakabiliwa na mtihani mgumu huku naye alexis sanchez ambaye mkataba wake unaisha mwisho wa msimu akigoma kusaini mkataba mpya.
Post a Comment
Post a Comment