Msanii wa kimataifa NEYO leo amepost katika instagram akaunti yake collabo ya cover aliyofanya na msanii wa Tanzania Diamond alimaarufu kama Dangote na kuonyesha hisia za wazi juu ya kumkubali kwake mondi..

alikuwa  na haya ya kusema NE-YO

Upendo wa kutosha kwa mshikaji wangu @diamondplatnumz msanii mkali na rafiki yangu kutoka Africa! 

Itafute single aliyoifanya na mimi #MARRYYOU inapatikana sasa kwenye iTunes

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.