La galaxy wamechapwa kwa penati na Colorado rapids jumapili gemu ambayo inaonekana kuwa ya mweisho kwa steve.
Mkataba wa kiuongo huyo ambaye alipata penalti yake ya kwanza na kumwacha rafiki wake wa zamani na kipa wa everton Tim howard bilamatumaini mpaka sasa hakuna mazumzo yeyote na club yake juu ya kumuongezea mkataba ambao unaishia mwezi wa 12 mwaka huu
Post a Comment
Post a Comment