Usiku wa kuamkia leo huko Marekani katika jiji la New York kumetokea ajali ya ndege ambayo ndani yake kulikuwa na team ya watu 48 wakiongozwa na msaidizi au makamu wa mgombea urais nchini umo kupitia chama cha Republican, Mike Pence.

Ajali iyo imetokea katika uwanja wa ndege wa LaGuardia Airport ambapo katika jitihada za kuishusha ndege kukatokea ajali ambapo sehemu ya nyuma ilipata tafaruku.

Mike Pence ambae ni mgombea msaidizi wa Donald Trump ambae aliongozana na team yake kuelekea katika kampeni iliyopanga kufanyika Ijumaa ya leo katika jiji la Pennsylvania na North Carolina lakini kutokana na ajali hiyo kampeni hizo zimesogezwa mbele.

Trump baada ya kupata habari hizo alisema "nimeongea na makamu wa rais mtarajiwa amesema anaendelea vizuri".

Lakini pia mpinzani wa Trump, Hillary Clinton ametweet katika mtandao wa Twitter akisema "ni vyema kusikia Mike Pence hajapatwa na madhara"

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.