Siku nne tu baada kwa aliyekuwa kocha wa yanga plujim kujiuzuru baada ya kuandikia barua labu hiyo,klabu ya young africans imemuandikia barua kocha huyo ya kumuomba atengue kauli yake na arudi kazini kama kawaida.

Baada ya uongozi wa klabu ya Yanga kupitia kwa kaimu katibu mkuu wake Baraka Deusdedit pamoja na waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mwigulu Nchemba ambaye pia ni shabiki wa Yanga na mwanachama, wamemuomba kocha Hans van Pluijm atengue uamuzi wake wa kujiuzulu na kurudi kazini kama kawaida.

Baada ya maamuzi hayo usishnagae ukamuona tena kocha huyo kwenye benchi la yanga.

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.