Baada ya mtoto kumuuliza mama yake na kukosa jibu
Mama; kamuulize baba yako
Mtoto; eti baba kumvalisha mtoto nepi kwa kingereza unasemaje?
Baba; yani we mwanamke swali hilo dogo unashindwa kumjibu mtoto
Mama; ndiyo baba Kibosho mi sijui mjibu wewe
Baba; si "KIDNAPPING"
Post a Comment
Post a Comment