Uongozi wa WCB ukiongozwa Bosi wa label hiyo, Diamond Platinumz au Baba Tiffah ukiwa na management inayomsimamia Saida Karoli mwimbaji wa nyimbo za asili wakipeana na kusaini makubaliano ya umilikishi wa nyimbo ya Salome ambayo Diamond ameufanyia tena marudio.
Haya sasa kwa wale wasiopenda maendeleo ya wengine kazi kumpinga mtu mara oooh kaiba mara sijui nini aya sasa kumbe WCB walikutana na mmiliki wa nyimbo kabla ya kuiweka hewani...

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.