Mkimbiaji wa zaman wa afrika kusini Oscar pistorious mchana wa Leo amehukumiwa hukumu ya kifungo cha miaka sita jela.

Ikumbukwe miaka mitatu iliyopita,oscar alishtakiwa kwa kumpiga mpenzi wake risasi NNE kifuani akiwa baafuni.Tukio hilo lilitokea Feb 14 2013 asubuhi Siku ya wapenda nao.

Baada ya mahojiano na polisi,oscar alikiri kufaya tukio hilo huku akiomba radhi sana kwa ndugu na jamaa na kusema kuwa asingeweza kumpiga risasi mpenzi wake ila yeye alijua ni mvamizi amevamia nyumba yao.

Tukio hilo ambalo liligawanya dunia na afrika kusini kwa ujumla ,mchana wa Leo ndio limfika tamati.

Jaji mwanamke wa mahakama ya juu Leo hii ametoa hukumu hiyo kwa kusema kuwa anajua kuwa jamii haijafurahi lakini ndivyo sheria inavyotaka.


Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.