•Kufuatia kuandama kwa mwezi hapo jana ,Jeshi la polisi kanda maalumu dar es salaam limewataka wananchi kusherehekea sikukuu ya Eid Al fitr kwa amani bila kuhatarisha usalama wa afya na mali zao
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam Kamishna SIMON SIRRO amesema jeshi hilo limejipanga kukabiliana na matukio mbalimbali na kuimarisha ulinzi katika maeneo mbalimbali ikiwemo maeneo ya ibada na michezo.
Kamanda SIRRO ametoa tahadhari kwa wamiliki na waendeshao vyombo vya moto kuepuka kukodisha magari yao kwa watu wasiowajua

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.