Ureno wakwea Fainal baada ya kupata ushindi mnono wa bao 2 kwa bila dhidi ya wales walioongozwa na bale.
Cristiano ronaldo aling'ara kwenye mchezo huo na ndiye aliyekuwa wakwanza kupachika bao dakika ya 50.
Sasa ureno wanasubiria mshindi kati ya ufaransa na ujerumani hapo kesho.
Post a Comment
Post a Comment