Ujerumani haiwezi kutambua ndoa za wake wengi au kuolewa kwa watoto, kwa mujibu wa waziri wa sheria nchini humo, Heiko Maas.

"Hakuna mtu anayekuja hapa aliye na haki keleta tamaduni zake na imani za kidini kwa sheria za hapa," Maas alisema.

Katika baadhi ya nchi za kiislamu, wanaume huruhusiwa kuoa hadi wake kumi lakini nchini Ujerumani ndoa za wake wengi zimepigwa marufuku.

Wasi wasi kuhusu ndoa za wake wengi na kuoa watoto, umeibuka siku za hivi karibuni wakati Ujerumani imekuwa ikiwachukua wahamiaji wengi kutoka nchi za kiislamu.

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.