Akiwa na Miaka 34, ADURIZ anakuwa mmoja kati
ya wachezaji wachache ktk dunia ya soka
walioweza kufunga Hat-trick dhidi ya Barcelona,
hii ni katika ushindi wa Goli 4-0 ilioupata Athetic
Bilbao dhidi ya Barcelona....
.goli la kwanza lilifungwa na Mikael San Jose
mapema kipindi cha kwanza kabla ya Aduriz
kuongeza mengine matatu katika kipindi cha pili.
hii ni mechi ya kwanza ya Super Cup in La Liga,
marudiano ni wiki ijayo....

Post a Comment
Post a Comment