Muda huu ninapoandika haya madiwani wote
wa jimbo la Monduli waliokuwa wa CCM
wamerudisha kadi na kujiunga na CHADEMA...
Sio hao tu bali hata wenyeviti wa vijiji na
vitongoji wote wa CCM wamerudisha kadi na
kujiunga chadema.
wa jimbo la Monduli waliokuwa wa CCM
wamerudisha kadi na kujiunga na CHADEMA...
Sio hao tu bali hata wenyeviti wa vijiji na
vitongoji wote wa CCM wamerudisha kadi na
kujiunga chadema.
Post a Comment
Post a Comment