watu wa afya nchini siera leone wamegundua maambukizi mapya ya ebola nchini humo,hii ni baada ya ya kipindi cha mwaka mmoja kupita tangu ebola itoweke nchini umo.Mabwana afya wa nchi hiyo wamewaonya raia kuchukua tahadhari juu ya gonjwa hilo linalomaliza watu kwa mda mfupi sana.zaidi ya watu 4000 waliliotiwa kufa nchini humo mwaka 2013 ebola ilipolipuka
Post a Comment
Post a Comment